Tuesday 30 April 2013

raha ys sms

karibuni katika mada ya leo inayojulikana kama raha ya sms ndugu zangu ningependa kwa kuanza kwa kuuliza swali ju ya sms unayotumiwa ya kimahaba kutoka kwa mpenzi wako ameitoa wapi? jibu unalo wewe unakuta mara nyingi wapenzi wa siku izi wanakuwa na line moja ambayo wewe huifahamu inajulikana kama
line ya majanga uitumia katika mambo yao ya kipuuzi kama unabisha basi nahakiki si wote wapo watu kama hao kalibu toa maoni yako hapa chini

No comments: